MTI WENYE HISTORIA MKOANI MWANZA
Picha ikionyesha mti ambao wakoloni wa kijerumani waliutumia kwa ajili ya kunyongea watu
Miti ni kivutio kizuri cha watalii na miti ni i chanzo cha mvua na pia miti inapelekea mazingira yetu kuwa mazuri. Na leo hii tunaenda kuongelea historia ya mti ambao wakoloni walikuwa wanautumia kwa ajili ya kunyongea watumwa
Picha ya mti ikionyesha kumbukumbu ya wakoloni
Kabla ya mti huo kuwa sehemu ya kivutio kulijengwa sanamu ya mwalimu nyerere ambalo lilivunjwa kwa ajili ya kuheshimu mti huo inasemekana mti huo uliota wenyewe.
Mti huo umejengwa katika ya jiji la Mwanza na sehemu nzuri ya kivutio na inafanya mkoa wa mwanza kupendeza na kuvutia
Ni mti uliotumiwa na wakoloni kwa kunyongea watu katikati ya jiji la Mwanza ma eneo ya Kemondo karibu na benki kuu ya zamani lengo la mti huo ni kwa ajili ya kumbukumbu ya wakoloni.
ANETH FABIANI KALINGA DJM/2024/0127
Reviewed by Light
on
December 16, 2024
Rating:

No comments: