DJM

SAYUNI SWAI DJM2024/0485

 


Kijana anayejishughulisha na shughuli  ya ususi

Kijana meshack emanuel ni mususi kila siku akituelezea historia ya kazi yake  ambayo ameifanya takribani  miaka kumi .vilevile kijana huyo kazi yake imemfanya aweze kuendesha maisha ya kila siku  pia kazi  hii imempa jina kubwa katika mtaa wa nyamalangoo  kwani ndiye mwanaume  pekee anayejishughulisha  na ususi

Maana ndiye msusi mahili kutokana na Ubunifu wa mitindo mbalimbali


Kijana meshaki akiwa anahudumia wateja

Kijana emanuel meshaki kazi ya ususi inamfanya apate  kipato kikubwa.kwa siku anaweza kusuka  wateja watutu kwa bei tofautitofauti vilevile  kazii hii inamfanya achukue tuzo bora ya msusi wa kiume  katika mtaa wa nyamalangoo. Hivyo kijana emanuel  meshack anawashauri Vijaya wa kiume wasiogope kazi hivyo wajikite katika shughuli  mbalimbali ambazo zinaweza kuwaingizia kipato ila kuendesha  maisha yao ya kila siku

SAYUNI SWAI DJM2024/0485 SAYUNI SWAI DJM2024/0485 Reviewed by Hshshshshshssh on November 21, 2024 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.