Karibu SAUT Mwanza, Tulijenge Jiji la Mungu
Baadhi ya wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Mtakatifu Augustino cha Tanzania (SAUT) Mwanza wakielekea darasani kupitia lango kuu la kuingia chuoni hapo.
Wanafunzi wa Sheria katika Chuo Kikuu cha Mtakatifu Augustino cha Tanzania (SAUT) Mwanza wakiwa darasani.
Baadhi ya wanafunzi wa SAUT Mwanza wakijisomea kwenye Vimbweta.
Wanafunzi wa Sheria Chuo Kikuu cha SAUT Mwanza wakitoka darasani na kurejea bweni baada ya ratiba ya masomo kutamatika chuoni hapo.
Maelezo ya hadithi katika picha:
Picha ya kwanza imepigwa majira ya asubuhi, ikionesha wanafunzi wa Chuo Kikuu cha SAUT Mwanza wakiwasili chuoni hapo kwa ajili ya kuanza ratiba ya vipindi vyao darasani.
Picha ya pili inaonyesha wanafunzi wa SAUT Mwanza wakiwa darasani baada ya kuwasili chuoni huku picha ya tatu ikionyesha wanafunzi wa SAUT Mwanza wakijisomea kwenye vimbweta vilivyopo chuoni hapo.
Picha ya nne inaonyesha wanafunzi wa SAUT Mwanza wakitoka darasani tayari kurejea wanaoishi ikiwemo hosteli za ndani na nje ya chuo hicho, hii ikiwa ni tamati ya ratiba ndefu ya siku nzima kwa wanafunzi wa SAUT Mwanza kuwa chuoni.
Wana kikundi:
Jonas Elisha DJM/2024/4585
Anitha Revocatus Kanyasu DJM/2024/1144
Sayuni Erick Swai DJM/2024/0485
Domina John Silvery DJM/2024/2067
George Marwa DJM/2024/1972
DJM1 Group No. 01
Reviewed by BMG Media
on
January 20, 2025
Rating:

No comments: