DJM

Jonas Elisha Elia Djm/2024/4585

           JONAS ELISHA ELIA DJM/2024/4585

Steer musembe mwanaume aliyeamua kuwekeza maisha yake kwenye muziki akiamini kuwa anaweza kujikimu,kupata mahitaji yake muhimu pamoja na kuitunza Familia yake pia kazi hii imemfanya kupata kipato kikubwa pamoja na kumuwezesha kufungua studio yake mwenyewe. Steer ni muongozaji wa muziki (Music director) pia ana uwezo wa kupiga vyombo vote vya muziki kama ngoma(drums),kinanda(piano),tarumbeta(saxophone) pamoja na gitaa(guitar)

  

                Steer musembe akipuliza tarumbeta


Pia muziki umemuongezea kuaminiwa na kuitwa kufanya kazi ya kuwaongoza wanamuziki kwenye Mata Matamasha mbalimbali ya dini maeneo mengi nchini Tanzania na nje ya mipaka ya Tanzania kwenye kama Kenya na Congo drc pia kumfanya kufahamiana na wanamuziki wengi pamoja na waimbaji wengi wakubwa. Pia steer musembe anafundisha kupiga vyombo vya muziki pamoja na kuimba pia kwa Rika zote.Steer musembe akipiga kinanda katika moja ya Matamasha aliyoyafanya kama muongozaji wa muziki

 


       Steer musembe akiwa katika moja ya matamasha             aliyoitwa kupiga muziki






Jonas Elisha Elia Djm/2024/4585 Jonas Elisha Elia Djm/2024/4585 Reviewed by Deus on December 05, 2024 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.