Kijana Meshack Emanuel kulia mwenye umri wa miaka 24 anayejishughulisha na shughuli ya ususi katika mtaa wa Silvin
Kijana Meshack Emanuel anayejishughulisha na shughuli za ususi mkoani Mwanza akitueleza wakati akizungumza na mtandao huu, kuhusu historia ya maisha yake mpaka kufikia kufanya kazi ya ususi ambayo ameifanya takribani miaka kumi.Meshack anaeleza kuwa kazi yake hii imemsaidia aweze kuendesha maisha yake na jina kubwa katika mtaa wa silvin kwani ndiye mwanaume pekee anayejishughulisha na ususi mtaani huko.Picha ikionesha Meshack Emanuel akiwahudumia wateja wake
Kijana Meshack Emanuel amesema kuwa sh Kuna baadhi ya wanaume wanaogopa kujishughulisha na shughuli ya ususi wakizani kazi hii ni ya wanawake hivyo anawashauri wanaume wasichague kazi ili waweze kuendesha maisha yao ya kila siku
SAYUNI SWAI DJM /2024/0485
Reviewed by Hshshshshshssh
on
December 05, 2024
Rating:
Reviewed by Hshshshshshssh
on
December 05, 2024
Rating:



No comments: