DJM

STEVEN KENNETH DJM/2024/0515

                       CHOO BORA  

Kwakuanza na maana ya neno "choo" maana yake ni chumba au mahali penye kifaa cha kuenda haja   Nyumba ni Choo ni kampeni ya usafi nchini Tanzania inayosimamiwa na Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii yenye malengo ya kuhamasisha jamii katika kudumisha suala la usafi na ujenzi wa vyoo bora.  

Choo Cha kudumu kinachoweza kutumika kwa muda mrefu na kuepusha magonjwa yanayoweza kusababishwa na vyoo visivyo vya kudumu.

kampeni hiyo iliyofanyika katika wilaya na mikoa mbalimbali ya Tanzania. Ilizinduliwa tarehe 5 Juni 2012 na rais wa awamu ya nne Jakaya Mrisho Kikwete  na baadaye  katika awamu ya tano    kampeni hiyo ilizinduliwa na aliyekuwa makamu wa rais wa Tanzania Mama SamiaSuluhu Hassan mwaka 2016.  

   Malengo ya kampeni hii ilikua ni kuweka mpango mji ulioandaliwa na aliyekuwa rais wa awamu ya nne kuhakikisha Kila kaya au familia  nchini Tanzania inakuwa na choo Cha kudumu kitakachoondoa mlipuko wa magonjwa holela yanayosababishwa na vyoo visivyokuwa vya kudumu.     

 Mfano wa magojwa hayo ya holela yanayosababishwa na vyoo visivyokuwa vya kudumu kwa mfano kisonono, kipindupindu, kuhara na mengine mengi. Kwahiyo kampeni hii ililenga kukomesha au kupunguza milipuko hii ya magonjwa  inavyoweza kusababishwa vyoo visivyo vya kudumu.   

        Choo kisicho Cha kudumu ambacho hakiwezi kukaa na kutumika kwa mufa mrefu na kinachovuja maji taka yanayoenda kuchafua makazi ya watu.

Kufuatia sababu hizo za kuanzishwa kwa kampeni hiyo pia wanchini wanashauliwa kuwa na matumizi sahihi ya vyoo pamoja na namna ya kuvitumia kwa kumwaga maji mengi ili kuondoa bakiteria wanaoweza kusalia na kusababishwa halufu mbaya pamoja na mlipuko wa magonjwa holela. 

STEVEN KENNETH DJM/2024/0515 STEVEN KENNETH DJM/2024/0515 Reviewed by Christopha on December 05, 2024 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.