DJM


 Picha ikionesha mashabiki wa yanga wakielekea katika uwanja wa Benjamini Mkapa Jijini Dar es Salaam kwenda kuangalia mechi ya mwisho ya hatua ya makundi katika kombe la kilabu bingwa Afrika kati ya Yanga zidi ya Mc alger .

 Ujumbe: Hii ni desturi ya kawaida kwa mashabiki wa timu hiyo kuhudhuria uwanjani kila ambapo timu yao inapocheza  kwaajili ya kuchagiza na kutoa hamasa kwa wachezaji wao .

Picha ikimuonesha shabiki wa yanga akiwa uwanjani huku  akishikilia  bango lenye ujumbe wa kutoa hamasa kwa mashabiki wa pande zote mbili.

Ujumbe: picha ya shabiki huyu inalenga kutoa hamasa kwa mashabiki wenzake  kwa ajili ya kulinda usalama wa kila mmoja na rasilimali za uwanja na hii imekuwa ni desturi ya watanzania wanapokuwa uwanjani kuhakikisha wanalinda usalama wa wenzao.

Picha ikionesha mashabiki wa yanga wakiwa na huzuni baada ya kukosa matumaini ya kufuzu hatua ya robo fainali ya ligi ya mabingwa barani Afrika.

Ujumbe: picha hii inaonyesha mashabiki wa yanga wakiikatia tamaa timu yao katika mchezo wa kutoa  maamuzi  ya timu gani itakayofuzu kwenda robo fainali.


Picha ikionyesha Afisa habari wa klabu ya yangu Ally Shaban Kamwe katika hali ya kuitafakari timu yake .

Ujumbe: picha hii inaonyesha hali ya kutoamini kilichokuwa kinaendelea uwanjani hapo ikiwa ni kinyume na matarajio yao.


          GROUP MEMBERS

1.BARAKA Y SEREBURE.                 DJM/2024/3734

2.LIGHTNESS COLMAN MLACHA.     DJM/2024/0187

3.BARAKA DANIEL CHARLES      DJM/2024/2950

4.THOMAS PAULO MAIKO         DJM/2024/0522

5.MAGDALENA JONAS BUGALAMA.   DJM/2024/2121

6.JAMES JASTINE JOHN.            DJM/2024/4650

Reviewed by Light on January 20, 2025 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.