DJM

Baraka Daniel Charles DJM/2024/2590

 Usafi wa choo ni kuhimu katika mazingira yetu



Choo pia: msala ni mahali ambako watu hutoa kinyesi, yaan mkojo na kinyesi. Neno hili latumiwa pia na watu kwa kutaja kinyesi, hasa wakilenga kuepukana na majina husika.

Kinyesi huwa na harufu iliyosikiwa kuwa mbaya kwa hiyo watu hukiangalia kwa unyarafu. Kuna wataalamu wanaofikiri ya kwamba hali ya kusikia harufu ya mavi kuwa mbaya ni kutokana na hatari ya kiafya kutokana kinyesi hiki kwa wanadamu wenyewe. Mavi huwa mara nyingi na bakteria ndani yake zinazoweza kusababisha magonjwa kwa hiyo uwezo wa kusikia mavi kuwa na harufu mbaya na unyarafu dhidi yake ni kinga asilia dhidi ya maambukizo

Hapo tangu mwanzo watu hawakuacha kinyesi mahali pa kulala au kukaa. Mbinu iliyotumiwa ambako watu ni wachache katika mazingira asilia ni kwenda mahali pa mbali kidogo na kuacha kinyesi pale. Tangu watu kukaa pamoja katika vijiji au hata miji mbinu hii haikupatikana tena na hivyo watu walianza kubuni njia mbalimbali na kujenga vyoo.

madhara ya kutumia choo kichafu 

Bakteria, virusi, na vimelea vinaweza kuenea kwa urahisi kupitia maji na udongo, na kusababisha magoniwa kama vile kuhara, kuvimba kwa matumbo, hepatitis A, kuhara damu, kipindupindu, na maambukizi ya vimelea.






               Choo kichafu hakifai kwa matumizi

Faida za kutumia choo kisafi 

Nyumba ni choo! Huu ni usemi ambao hutumika mara nyingi ukiangazia umuhimu wa choo bora na huduma

za kujisafi nyumbani.

Tarehe 19 mwezi huu ilikuwa ni siku ya choo duniani.

Dunia imekumbushwa kuwa choo na huduma za kujisafi ambazo hazipewi umuhimu zaweza kuchangia

ukuaji wa uchumi.

Ukitumia choo kichafu unaweza kupata magonjwa mbali mbali kama vile kipindupindu na magonjwa mengine yanayo sababishwa na uchafu 




            Choo kisafi kwa matumizi

Tunashauriwa kutumia choo kisafi kwaajili ya afya zetu za kila siku na kwa maana hiyo tinaazimisha siku ya cjoo duniani 

Baraka Daniel Charles DJM/2024/2590 Baraka Daniel Charles DJM/2024/2590 Reviewed by Magosoghj on November 21, 2024 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.