DJM

Djm/2024/0141 kimoro

 

WANANCHI WA MALIMBE WAFANYE USAFI WA VYOO

Wananchi wasisitizwa usafi wa vyoo baada ya kuadhimisha siku ya vyoo duniani imegundulika kuwa watu wengi hivi sasa wanapuuza usafi wa choo hivyo inaweza kuwasababishia kupata magonjwa ya milipuko kama kipindu pindu na homa za mara kwa mara


1: mfano Choo kilichopo malimbe kata ya luchelele ambacho ambocho hakifanyiwi usafi.




             

Wananchi wengi wameonekana kwasasa kuzingatia vikoba au michezo hivyo asubuhi wanaondoka tu na kwenda kwenye mambo yao nakuacha usafi wafanye watoto na sio wao watu wazima hivyo kupelekea vyoo kuzidi kuwa vichafu zaidi ya hapo awali au uchafu kukithili na kupelekea magonjwa mbali mbali ya milipuko



2;Hiki choo hakijafanyiwa usafi siku nzima kilipo malimbe ambacho kinaweza leta magonjwa.


Hivyo vyoo vinavyoenekana hapo juu ni vyoo ambavyo ni hatari kwa jamii iliyotuzunguka kwasababu ya mazingira yake ya usafi kwasasa ulimwengu umekua sana na kuna vitendea kazi vingi vya kufanya vyoo viwe visafi kwanza kabisa choo lazima kiwe na maji safi na salama na sabuni ya kunawia kama ya kutoka chooni kunawa mikono ukitoka chooni wananchi wazidi kufanya usafi ili kuepukana na magonjwa yasio ya lazima


3; Mfano wa choo ambacho kinafanyiwa usafi kila siku ni mfano wa kuigwa.
Djm/2024/0141 kimoro Djm/2024/0141 kimoro Reviewed by Fallyipupa on November 21, 2024 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.