Jiwe kubwa lililopo kata ya luchelele mtaa wa swea ambalo lipo njee ya nyumba kama fensi.
Mkoa wa mwanza umebarikiwa utajiri wa mawe na leo nmetembelea kata ya luchelele mtaa wa swea nmekutana na jiwe la kushangaza ambalo lipo pembeni ya nyumba wanao ishi watu kwa muda mrefu bila kuwa na wasiwasi wowote na jiwe hilo pia nikizungumza na muhusika wa eneo hilo bi Delphin Chelehan na kusema kuwa hilo jiwe lina miaka zaid ya hamsini na ilo eneo aliachiwa na wazazi wake baadae akaamua kujenga nyumba na kuamua kupangisha.
Hilo ni jiwe ambalo lipo swea ambalo lipo karibu na nyumba wanayo ishi wapangaji takribani miaka 10.Wananchi na majirani hawana wasiwasi na ukubwa wa jiwe hilo japo ni kubwa mno na linatisha lakini wananchi wa eneo hilo hawana wasiwasi kama.
Hiyo ni picha la jiwe ikiomesha jiwe hilo na nyumba iliopo pembeni hapo.Mwanza ni mkoa ambao umebarikiwa sana hasa katika utajiri wa mawe kuna kila aina ya mawe ila jiwe nimeona nililete kama stori kwasababu jiwe nikubwa nalipo nje ya nyumba hiyo na wananchi hawajali kabisa wanaona kama kitu cha kawaida kukaa na jiwe hilo.
Picha ya jiwe kubwa lililopo njee ya nyumba wanao ishi watu takribani 8 nyumbani hapo.Tunazidi kuangalia jiwe hili ambalo mimi limenishangaza kwa ukubwa wake na nikiambiwa kuwa urefu wa juu ni saa na urefu wa chini na pia haliwezi kudondoka wala kuleta madhara yoyote.
Jiwe lilipo mtaa wa swea kata ya luchelele jiwe hilo lililopo karibu na nyumba hiyo na watu wakiishi na furaha na amani bila wasi wasi wa jiwe hilo.
Reviewed by Fallyipupa
on
December 16, 2024
Rating:






No comments: