DJM

JAMES JASTINE DJM/2024/4650

UKALABATI WA VYOO KATIKA CHUO CHA SAUT

Uongozi wa chuo kikuu Cha mtakatifu agustino SAUT Mwanza  wameanza miundombinu mbalimbali ya chuo ikiwemo ukalabati wavyoo mbalimbali katika chuo hicho .

Ongezeko la wanafunzi chuoni hapo kumepelekea miombinu kutokidhi hivyo uongozi wachuo kuanza mchakato wa ukalabati wa vyoo.



Vyoo vikianza kufanyiwa ukarabati ili kutumika Tena kwaajali ya muda mrefu.

Katika hatua nyingine chuo Cha mtakatifu Agustino umeamua kufanya malekebisho hayo baada ya vyoo hivyo kuhalibika vibaya pamoja nahalifu mbaya


Vyoo kwa Sasa havitumiki kwasababu ya ukarabati unaoendelea kufanya.


JAMES JASTINE DJM/2024/4650 JAMES JASTINE DJM/2024/4650 Reviewed by Pappy girl on December 05, 2024 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.