picha ikionyesha makazi ya watu yaliyojengwa juu ya mawe mkoani Mwanza mtaa wa mkolani
Baadhi ya wananchi wa mtaa wa mkolani jijini Mwanza wanaishi Pembezoni ya mawe .pia mawe haya yanatumika kama sehemu ya utali kwa wageni mbalimbali kwa tunavyofahamu Mwanza ni mkoa unaosifika sana kuwa na miamba mikubwa .hivyo basi tutunze mazingira yetu ni pamoja na miamba ili tuweze kujipatia fedha za kigeni.
Picha ikionyesha Baadhi ya mazingira yaliyozungukwa
Na mawe mkoani mwanza mtaa wa malimbe
Kama tunavyojua asilimia kubwa ya watu waishio Tanzania wakiamini
Kuwa mkoa.wa Mwanza ndio unaongoza kwa kuwa na miamba .vilevile miamba hiyo
inaweza ikasababisha vifo vya watu wakati wa mvua kubwa.aidha miamba hiyo katika mkoa wa mwanza yale mawe yanatumika kwa ajili ya ujenzi
Picha ikionyesha makazi ya watu waliojenga Pembezoni
mwa miamba mkoani mwanza mtaa wa nyahingi. Kuna baadhi ya wananchi wanajenga karibu na miamba kwani. Ni hatari wakati mvua kubwa zikinyesha au mabadiliko ya hali ya hewa
Serikali itoe elimu kwa wale wote wanaojenga karibu na miamba mikubwa kwa kuhatarisha maisha yao .pia serikali itoe maeneo maalumu ili wananchi waepuke kuishi sehemu hatari.
picha ikionyesha maeneo tofauti totaoufi katika mkoa wa Mwanza ikionyesha maeneo yaliyozungukwa na miamba
Mkoa wa Mwanza ni mko wa kihistori wenye miamba mikubwa Tanzania ambapo asilimia kubwa ya watu waishio katika mkoa huo wanajenga juu ya miamba mikubwa .vilevile miamba hiyo inasaidia mmomonyoko wa udongo na kutunza mazingira hivo basi serikali itoe elimu jinsi ya kutunza maeneo hayo ya miamba picha ikionyesha maeneo tofauti totaoufi yenye miamba pamoja na makazi ya watuu
Mkoa wa Mwanza ( yaani rock city)jiji la miamba imekuwa ni kivutio kwa wageni wanaotoka sehemu mbalimbali kwa sababu ya ni mji ulizungukwa na miamba watu wanaoishi mkoani humu wanajivunia kuwa na jiji la miamba
Picha ikionyesha maeneo tofauti yaliyozungukwa na miamba katika mkoa wa Mwanza
Reviewed by Hshshshshshssh
on
December 16, 2024
Rating:






No comments: