Uwanja wa michezo wa CCM Kirumba
CCM kirumba ni uwanja wa michezo uliopo katika mkoa wa Mwanza nchini Tanzania ambapo michezo mbalimbali na pia mikutano mbalimbali hufanyika kama vile ya kiserikali na pia matamasha ya kibirudani na pia ya kidini ni mkubwa sana na ukiwa na uwezo wa kuchukua watu na mashabiki kwa ujumla 35000, na ni uwanjwa wa pili kwa ukubwa nchini ambapo ni uwanja unauwezo wa kubeba watu wengi zaidi Tanzania.
Uwanja wa CCM kirumba umetengenezwa kwa muundo wa kisasa na pia vifaa vya kisasa ili kuhakikisha shughuli zinazo fanyika humo zisipate shida mnamo Tarehe 25 Machi 2015 timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars ilicheza mechi yake ya kirafiki katika uwanja huu na timu ya Malawi na matokeo yalikuwa bao moja kwa moja.
Uwanja wa CCM kirumba ulifunguliwa rasmi mwaka 1980
Uwanja wa CCM kirumba kukiwa na mechi
Timu ya Taifa ya Tanzania imetumia uwanja huu kwa micheo mingi ya kirafiki.
Moja ya michezo hiyo ni pamoja na ule uliowakutanisha na timu ya taifa ya Malawi mmo tarehe 29 Machi 2015. Matokeo yalikua ni sare ya 1-1. Umekua ukitumiwa kama uwanja wa nyumbani kwa timu za mkoa wa mwanza zinazoshiriki Ligi Kuu Tanzania Bara. Uwanja wa CCM kirumba ulipo katika mkoani mwanza hivi sasa una takribani ya miaka 44 tangu ulivyo zinduliwa rasmi au kufunguliwa rasmi kwaajili ya kazi, mechi na matamasha mbalimbali yanayo fanyika uwanjani hapo.
Pia inaleta thamani kubwa katika taifa letu kwa sababu inasaidia kurahisha shugjulu mbali mbalu kufanyika hasa zile zinazo hitaji uwanja mpana na pia ni chanzo cha mapato katika taifa letu sababu watu huingia kwa viingilio aodha kan juna shughuli yoyote ile
Na ni moja kati ya vitu tunavyojivuania kua na uwanja wa CCM kirumba katika mkoa weti wa mwanza nchini tanzania pia hufanyiwa maboresho mara kwa mara ili kuhakikidha usalama zaifi unakuwepo katika uwanja huo na kuendelea kulinda heshima ya uwanja huo wa CCM kirumba mwanza
Mashabiki mbali mbali pia na watumiaji wa uwanja huo wanasema kua wanajivunia kua na uwanja kam huo kwasababu ni wakisasa na pia unavifaa vya kisasa hata team za na mechi mbali mbali huchrzewa hapo na mechi kubwa kubwa za kitaifa au team binafsi huchezewa hapo na pia ni uwanja wa pili kwa ukubwa na ni uwanja unao weza kujaza watu au mashabiku wengii zaidi
Lakini pia wasimamizi wa uwanja huo wanasema kuwa uwanja huu ni moja kati ya historia ya kitaifa ambayo ipo toka zamani kwasbabu uwanja huu wa CCM kirumba umejengwa mwaka 1980 ambayo ni miaka ya zamani mpaka sasaivi uwanja huu upo na bado mechi mabali mbali na matamasha ya kiserikali na ya kiburudani yanafanyika katika uwanja huo wa CCM kirumba

No comments: