MAAJABU YA NYUMBA ZA MWANZA ZILIZO JENGWA KARIBU NA MAWE
Mwanza n mkoa wenye mawe mengi licha ya kuwepo Kwa mawe hayo lakini haiwazuii watu kujenga, nyumba nyingi zimejengwa juu na nyingine zikijengwa pembeni ya miamba mikubwa.Watu wanapofika mkoa wa mwanza wanashangazwa Sana na muonekano wa makazi ya mkoa huo.
Picha ikionyesha nyumba iliyojengwa pembeni ya jiwe kubwa.
Watu wengi wanapofika mkoa wa mwanza wanashangazwa sana na mpangilio wa makazi ya mji huo jambo ambalo sio la kawaida Kwa mikoa mwingine kujenga juu ya miamba mikubwa ya kutisha.
Jambo ambalo linawashangaza watu wengi ni ujasiri wa watu wa mkoa huo kutokuwa na shaka endapo tetemeko la ardhi likitokea litasababisha madhara makubwa Kwa watu waliojenga karibu ya miamba mikubwa.
Sio rahisi kuamini kuwa watu wa mkoa wa mwanza wanajivunia kuwepo Kwa mawe makubwa pembeni ya Nyumba zao Kwani mawe hayo yanakuwa kama sehemu za kupumzika.
Reviewed by Martine Keke kazeri
on
December 16, 2024
Rating:






No comments: