Toka kuwepo kwa uvumbuzi wa choo hapo mwanzoni jamii nyingi za kiafrika zilianza kutumia choo Cha shimo ambacho kilisaidia kwa asilimia kubwa sana na kilipunguza kujisaidia ovyo ovyo Hali iliyokuwa inapelekea uchafuzi wa mazingira. Ivyo vyoo hivi vilisaidia kwa kiasi kikubwa.
Choo Cha kuchuchumaa.Baada ya hapo vyoo viliboreshwa na kuwa vya kisasa kutoka kwenye vyoo vya shimo Hadi kuwa vyoo vya kujengea Hali hii ilisaidia kwakiasi kikubwa sana matumizi ya choo ivyo aina ya vyoo ivi kiukweli vilikuwa au nivyakisasa maana bado vinatumika
Choo Cha kukaa
Pia ukuaji wa tekinolojia unaendereaj kukua miaka zaidi ya miaka na ivyo imesaidia kutengeneza vyoo vya kisasa zaidi. Kwa sasaivi wamegundua vyoo au masinki ya kaa.
DJM/2024/3635 BARAKA KAARE
Reviewed by Christopha
on
November 21, 2024
Rating:
Reviewed by Christopha
on
November 21, 2024
Rating:



No comments: