Stendi kuu ya mabasi nyegezi mwanza yenye ubora wa Hali ya juu
Picha ikionesha nje ya stendi kuu ya mabasi nyegezi mwanza
Stendi kuu ya mabasi nyegezi imeanza kutoa huduma kwanzia 2023 kwenda mkoa mbalimbali ya Tanzania stendi kuu ya kisasa inaingiza takribani mabasi 120 wakati mmoja ikiwa na maduka makubwa 44
Picha ikionesha sehemu ya kupumzikia wasafiri
Pamoja na sehemu ya wamama kuwanyonyesha watoto wao ili waweze kupata afya Bora wakati wakiwa wanajiandaa Kwa ajili ya safari
Picha ikionesha mlango wa kuingilia wamama wenye watoto ili waweze kuwanyonyesha watoto wao
Pamoja na hayo stendi hii kuu ya mabasi inasehemu ya benki upande wa kuwaegeshea magari madogo na pia upande wa migahawa ni stendi nzuri yenye muonekano wa kuvutia Inatumiwa na watu wote wasio jiweza na wanao jiweza
Picha ikionyesha choo Cha stendi kuu ya mabasi nyegezi pamoja na sehemu ya kutupia taka
Jengo hili ni jengo kubwa ambalo limetengwa na vyumba mbalimbali ikiwemo gorofa la juu ambalo pia ni jengo ambalo unaweza pata huduma ya supermarket,sehemu ya kupaki magari ya watu binafsi ni stendi ambayo inamuonekano mzuri si nje SI ndani karibuni sana stendi kuu ya mabasi nyegez
Picha ikionyesha nje ya stendi kuu ya nyegezi
Na pia stendi hii inamvuto mpaka nje imelengana na makazi ya watu wanaoishi nyegezi pamoja na mkolani
Reviewed by Martine Keke kazeri
on
December 16, 2024
Rating:






No comments: