DJM

Anitha Revocatus Kanyasu DJM /2024/1144


VIJANA TUSICHAGUE KAZI 


 Picha ikionyesha kijana Joseph akihudumia Chakula kitamu kinachopatikana mgahawa wa chilax kinachopikwa na kijana wa kiume mwenye umri wa miaka 29

Bwana Joseph chilambo mwenye umri wa miaka 26 anaye miliki mgahawa Bora wenye chakula kitamu chenye Radha nzuri na wateja kuvutiwa sana na chakula chake akitoa historia iliye mpelekea mpaka kuwa mpishi Mimi kabla ya kuwa mpishi nlikuwa nasoma chuo Cha sauti BAED nmesoma pale mpk nikamalza chuo na kugraduate lakini nilivo malizia tu Baba angu aliyekuwa akinisomesha alipoteza maisha Kwa ugojwa wa cancer nikakosa muelekeo ndipo nlpoamua kurudi nlipo soma niweze kuanza Biashara ambayo itanisaidia Mimi na wadogo zangu nyumbani 

Picha ikionyesha kijana Joseph akiwa ana hudumia wateja wake Kwa usafi ya hali ya juu na kujali wateja wake ili waweze kupata chakula Kwa wakati

Pamoja na hayo kwanza nafurahia sana KAZI yangu kwasababu ni kitu ambacho nilikuwa napenda japo cjakisomea japo wengi walinicheka na kunishangaa mwanaume na wezaje kupika lakini mi sijali kwasababu ni KAZI inayo niingizia kipato

lakini ikitokea nikaitwa kuajiliwa ntaenda na ntawachia wadogo zangu wasimamie changamoto nazo pitia ni pale ambapo wanafunzi wa chuo wakifunga chuo miez kadhaa nakosa wateja na inanibidi nifunge mgahawa wangu

Pamoja na hayo nawashauli vijana wenzangu wasiogope swala la kupika ni la kawaida sana na linatusaidia kwenye maisha yetu ya Kila siku kupata kidogo Cha kuendesha familia




Picha ikionyesha Kijana Joseph akiwa anaandaa chakula cha mchana kwa ajili ya wateja wake

Anitha Revocatus Kanyasu DJM /2024/1144 Anitha Revocatus Kanyasu DJM /2024/1144 Reviewed by Barakaaa on December 05, 2024 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.