Imekuwa ni kawaida sana kwa Kila taifa kuazimisha na kusherekea siku ya choo dunia japo yapo mataifa mengine ambayo jambo hili wamekuwa hawalipi uzito sana kama mataifa makubwa yanavyo lipa uzito na baadhi ya mataifa ambayo yalikuwa hayalipi swala hili kipa umbele ni pamoja na Tanzania
Ambapo kipindi cha nyuma watanzania wengi walikuwa hawaoni kama choo kipaumbele na umuhimu mkubwa hasa maeneo ya vijijini ambapo familia nyingi zilikuwa zinachukulia choo kama jambo la kawaida na wengi wao walikuwa hawana elimu kuhusu umuhimu wa kuwa na choo Bora na baada ya juhudi za serikali kwa taifa Zima na kuja misemo mbalimbali ya kuamasisha wananchi wao mfano wa hiyo mesemo ni nyumba ni choo ambao ulikuwa unalenga kila kaya kuakikisha wanakuwa na choo na kilicho bora na kufanikiwa kwa kiasi kikubwa hadi leo familia nyingi zinavyo na zinajua umuhimu wa kuwa na choo
Sikukuu ya kuazimisha choo duniani, inayojulikana kama "World Toilet Day," huadhimishwa tarehe 19 Novemba kila mwaka. Lengo lake ni kuhamasisha umma kuhusu masuala ya usafi wa mazingira na umuhimu wa vyoo bora duniani. Ni nafasi ya kuangazia changamoto zinazokabili mamilioni ya watu ambao hawana uf access wa huduma bora za choo.
Sikukuu ya kuazimisha choo duniani, inayojulikana kama "World Toilet Day," huadhimishwa tarehe 19 Novemba kila mwaka. Lengo lake ni kuhamasisha umma kuhusu masuala ya usafi wa mazingira na umuhimu wa vyoo bora duniani. Ni nafasi ya kuangazia changamoto zinazokabili mamilioni ya watu ambao hawana uf access wa huduma bora za choo.
Zifuatazo ni picha mbalimbali zinazo onesha hali tofautitofauti ya baadhi ya vyoo katika maeneo ya Nganza na na ndani ya chuo cha SAUT
Picha ikionyesha muonekano wa nje wa choo kilichopo mtaa wa marimbe kata ya lechelele mkoani mwanza katika azimosho la siku ya vyoo dunia inayoadhimishwa 19 November Kila mwaka
.jpeg)
Picha ikionyesha muonekano wa ndani ya choo kilichopo marimbe kata ya lechelele mkoani mwanza katika azimosho la siku ya vyoo dunia inayoadhimishwa 19 November Kila mwaka
Ili kuadhimisha siku hii, inashauriwa kufanya mambo yafuatayo:
Kujifunza,elimu kuhusu umuhimu wa usafi wa choo na athari zake kwenye afya na mazingirakuhamasisha,kueneza habari kuhusu siku hii kwenye mitandao ya kijamii au ndani ya jamii yako,ushiriki,kujiunga na shughuli za kijamii zinazohusiana na usafi wa choo, kama vile kampeni za usafi.Kuchangia,kuunga mkono miradi inayopigania ufungaji wa vyoo bora kwa jamii zenye uhitaji.
Usafi wa choo ni haki ya msingi, na siku hii inatoa fursa muhimu ya kuufanya unajulikane zaidi na ikumbukwe kuwa taifa la kwanza dunia kuazimisha siku hii lilikuwa ni taifa la India mnamo mwaka 2013 likiwa linalenga kuhamasisha umma kuhusu umuhimu wa choo katika mazingira yetu

.jpg)
No comments: