UJENZI WA DARAJA LA BUSISI
Picha ikionyesha ujenzi wa daraja la busisi mwanza
Mwanza. Yawezekana watu wakisikia tarifa za Rais wa Tanzania, John Magufuli kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa daraja la Kigongo-Busisi unadhani ni daraja la kawaida kama madaraja menginenchini.Wanaodhanihivyowanajidanganya kwa sababuutakapokamilika, daraj hilo linalounganisha Wilaya za Misungwi na Sengerema za Mkoa wa Mwanza nchini Tanzania pamoja na mikoa ya Mwanza na Geita litakuwa ndilo daraja refu kuliko lote katika Ukanda huu Afrika Mashariki na Kati. Daraja hilo linaunganisha barabara zinazoenda nchi jirani za Uganda, Rwanda, Burundi na Jamhuri ya Kidemokrasia Congo (DRC).
Picha ikionyesha ujenzi wa daraja la busisi mwanza
Daraja hilo ambalo ujenzi wake utagharimu zaidi ya Sh700 bilioni kwa mujibu wa Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mwasiliano, abdallah ulega litakuwa na urefu wa kilomita 3.2 likipita juu ya Ziwa Victoria. Mradi huo pia utahusisha ujenzi
wa barabara unganishi wenye urefu wa Kilomita 1.6 na fedha zote za utekelezaji zinatokana na mapato ya ndani.
Picha ikionyesha ujenzi wa daraja la busisi mwanza
Alipotangaza uamuzi wa kujenga daraja eneo hilo wakati wa ziara zake kadhaa mkoani Mwanza, Rais Magufuli alisema
Picha ikionyesha ujenzi wa daraja la busisi juu ya maji
kukamilika kwa mradi huo siyo tu kutarahisisha usafiri na usafirishaji, bali pia utaondoa adha ya wagoniwa kupoteza usafirishaji, bali pia utaondoa adha ya wagonjwa kupoteza maisha wakati wakisubiri vivuko vinavyotoa huduma eneo hilo. Eneo la Kigongo - Busisi linahudumia na vivuko viwili vya Mv Mwanza ambacho ni kipya na Mv Misungwi ambazo hutumia wastani wa dakika 30 hadi 40 kuvuka kutoka upande mmoja hadi mwingine.
Picha ikionyesha ujenzi wa barabara ya busisi ziwa Victoria
"Kila siku watu wamekuwa wakisubiri feri (kwa muda mrefu) haiwezekani kila siku
tunategemea feri. Anafika pale mama mjamzito mpaka ukasubiri feri; uchungu
utakusubiri wakati mtoto anataka atoke? Pale wameshakufa watu." amewahi
kukaririwa akisema Rais
Magufuli "Tumeomba fedha kutoka kwa
wafadhili tumekosa. Tumeamua
tunajenga kwa fedha zetu wenyewe,"
Tayari Rais Magufuli na viongozi
wengine wa Kitaifa, kidini na wananchi wamewasili eneo la tukio.
Reviewed by Martine Keke kazeri
on
December 16, 2024
Rating:






No comments: